4 Septemba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Ago - Septemba - Okt | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 1824 - Anton Bruckner, mtunzi wa muziki kutoka Austria
- 1862 - Carl Velten (mkusanyaji wa hadithi za Kiswahili)
- 1906 - Max Delbruck, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1969
- 1913 - Stanford Moore, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1972
- 1981 - Beyoncé, mwimbaji kutoka Marekani
[hariri] Waliofariki
- 422 - Papa Boniface I
- 1916 - José Echegaray y Eizaguirre (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1904)
- 1965 - Albert Schweitzer, daktari, mwanafalsafa na mmisionari nchini Gabon, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1952