1969
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1930 | Miaka ya 1940 | Miaka ya 1950 | Miaka ya 1960 | Miaka ya 1970 | Miaka ya 1980 | Miaka ya 1990 | ►
◄◄ | ◄ | 1965 | 1966 | 1967 | 1968 | 1969 | 1970 | 1971 | 1972 | 1973 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1969 BK (Baada ya Kristo).
Matukio [hariri]
- 20 Julai - Wanaanga Neil Armstrong na Buzz Aldrin ni watu wa kwanza kufika kwenye uso wa mwezi.
- 1 Septemba - Mapinduzi ya Libya; maafisa chini ya Muammar al-Gaddafi wanampindua mfalme Idris I na kutangaza jamhuri.
Waliozaliwa [hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1969 MCMLXIX |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5729 – 5730 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1961 – 1962 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1418 ԹՎ ՌՆԺԸ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1389 – 1390 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1347 – 1348 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 2024 – 2025 |
| - Shaka Samvat | 1891 – 1892 |
| - Kali Yuga | 5070 – 5071 |
| Kalenda ya Kichina | 4665 – 4666 戊申 – 己酉 |
- 31 Machi - Nyamko Sabuni, mwanasiasa wa kike wa Uswidi
- 13 Juni - Joseph Keter, mwanariadha kutoka Kenya
- 15 Juni - Ice Cube (au O'Shea Jackson), mwimbaji na mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 24 Julai - Jennifer Lopez, mwimbaji kutoka Marekani
- 1 Oktoba - Marcus Stephen, Rais wa Nauru (tangu 2007)
- 13 Novemba - Gerard Butler, mwigizaji filamu kutoka Uskoti
Waliofariki [hariri]
- 28 Machi - Dwight D. Eisenhower, Rais wa Marekani (1953-1961)
- 5 Julai - Tom Mboya, mwanasiasa wa Kenya, aliuawa
- 9 Agosti - Cecil Frank Powell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1950
- 17 Agosti - Otto Stern (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1943)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: