19 Septemba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Ago - Septemba - Okt | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1983 - Nchi ya Saint Kitts na Nevis inapata uhuru kutoka Uingereza.
Waliozaliwa [hariri]
- 1911 - William Golding (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1983)
- 1933 - Ingrid Jonker, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1967 - Alexander Karelin, mwanariadha kutoka Urusi
- 1971 - Sanaa Lathan, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki [hariri]
- 1881 - James A. Garfield, Rais wa Marekani (1881)