6 Septemba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Ago - Septemba - Okt | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1860 - Jane Addams (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1931)
- 1876 - John Macleod (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1923)
- 1892 - Edward Appleton, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1947
- 1906 - Luis Leloir, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1970
- 1939 - Susumu Tonegawa (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1987)
Waliofariki [hariri]
- 972 - Papa Yohane XIII
- 1985 - Rodney Porter (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1972)
- 1998 - Akira Kurosawa, mwongozaji wa filamu kutoka Japani