15 Septemba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Ago - Septemba - Okt | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1590 - Uchaguzi wa Papa Urban VII
- 1644 - Uchaguzi wa Papa Innocent X
- 1821 - Nchi ya El Salvador inapata uhuru kutoka kwa Wahispania.
Waliozaliwa [hariri]
- 1254 - Marco Polo, mpelelezi kutoka Italia
- 1857 - William Howard Taft, Rais wa Marekani (1909-13)
- 1929 - Murray Gell-Mann (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1969)
Waliofariki [hariri]
- 1989 - Robert Penn Warren, mwandishi kutoka Marekani