10 Septemba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Ago - Septemba - Okt | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1974 - Nchi ya Guinea Bisau inapata uhuru rasmi kutoka Ureno.
Waliozaliwa [hariri]
- 1487 - Papa Julius III
- 1885 - Carl Van Doren, mwandishi kutoka Marekani
- 1892 - Arthur Holly Compton, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1927
- 1917 - Masahiko Kimura, mwanariadha kutoka Japani
Waliofariki [hariri]
- 1918 - Karl Peters, mwanzilishi wa koloni ya Afrika ya Mashariki ya Kijerumani
- 1921 - John Tengo Jabavu, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1975 - George Thomson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1937)
- 1983 - Felix Bloch (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1952)