3 Septemba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Ago - Septemba - Okt | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
[hariri] Matukio
- 1540 - Gelawdewos wa Uhabeshi anatangazwa kuwa mfalme mkuu chini ya jina la Asnaf Sagad I.
- 1783 - Kufuatana na Mkataba wa Paris, nchi ya Marekani inapata uhuru rasmi kutoka Uingereza.
- 1914 - Uchaguzi wa Papa Benedikto XV
[hariri] Waliozaliwa
- 1869 - Fritz Pregl (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1923)
- 1899 - Frank Burnet, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1960
- 1905 - Carl David Anderson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1936)
- 1938 - Ryoji Noyori, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2001
- 1940 - Joseph Sinde Warioba, Waziri Mkuu wa Tanzania
- 1948 - Levy Mwanawasa, Rais wa tatu wa Zambia (2001-2008)
[hariri] Waliofariki
- 1962 - Edward Cummings, mwandishi kutoka Marekani