1948
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1910 | Miaka ya 1920 | Miaka ya 1930 | Miaka ya 1940 | Miaka ya 1950 | Miaka ya 1960 | Miaka ya 1970 | ►
◄◄ | ◄ | 1944 | 1945 | 1946 | 1947 | 1948 | 1949 | 1950 | 1951 | 1952 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1948 BK (Baada ya Kristo).
Matukio [hariri]
- 30 Januari - Mahatma Gandhi anauawa na Mhindu mkali anayechukia jitihada za Ghandi za kutunza umoja wa Uhindi na haki kwa ajili ya Waislamu Wahindi.
Waliozaliwa [hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1948 MCMXLVIII |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5708 – 5709 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1940 – 1941 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1397 ԹՎ ՌՅՂԷ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1367 – 1368 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1326 – 1327 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 2003 – 2004 |
| - Shaka Samvat | 1870 – 1871 |
| - Kali Yuga | 5049 – 5050 |
| Kalenda ya Kichina | 4644 – 4645 丁亥 – 戊子 |
- 7 Januari - Ichiro Mizuki, mwanamuziki kutoka Japani
- 14 Januari - Carl Weathers, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 28 Februari - Steven Chu, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1997 na Waziri wa Nishati wa Marekani (tangu 2009)
- 11 Machi - Franz Lambert, mwanamuziki wa Ujerumani
- 30 Machi - Method Kilaini, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 1 Aprili - Jimmy Cliff, mwanamuziki kutoka Jamaika
- 15 Mei - Brian Eno, mwanamuziki wa Uingereza
- 18 Julai - Hartmut Michel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1988
- 3 Septemba - Levy Mwanawasa, Rais wa tatu wa Zambia (2001-2008)
- 10 Oktoba - Benedict Kiroya Losurutia, mwanasiasa wa Tanzania
- 24 Oktoba - Mike Laizer, mwanasiasa wa Tanzania
- 25 Oktoba - Agapiti Ndorobo, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 1 Novemba - Amani Abeid Karume, Rais wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar tangu mwaka wa 2000
- 5 Novemba - William Phillips, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1997
- 15 Desemba - Cassandra Harris, mwigizaji filamu kutoka Australia
bila tarehe
- Penina Muhando, mwandishi Mtanzania
Waliofariki [hariri]
- 30 Januari - Mahatma Gandhi, mwanasheria, mwanafalsafa na kiongozi wa kisiasa nchini Uhindi
- 27 Julai – Susan Glaspell (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1931)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: