8 Septemba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ago - Septemba - Okt
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

Tarehe 8 Septemba ni siku ya 251 ya mwaka (ya 252 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 114.

Matukio[hariri | hariri chanzo]

Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]

Waliofariki[hariri | hariri chanzo]

Sikukuu[hariri | hariri chanzo]

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sikukuu ya Kuzaliwa Bikira Maria, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Adriano wa Nikomedia, Fausto, Dio na Amoni, Isaka Mkuu, Papa Sergio I, Korbiniani, Tomaso wa Villanova n.k.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 8 Septemba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.