Hideki Yukawa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tuzo Nobel.png

Hideki Yukawa (23 Januari, 19078 Septemba, 1981) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ujapani. Hasa alichunguza vijipande vya atomu. Mwaka wa 1949 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hideki Yukawa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.