1907
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1870 | Miaka ya 1880 | Miaka ya 1890 | Miaka ya 1900 | Miaka ya 1910 | Miaka ya 1920 | Miaka ya 1930 | ►
◄◄ | ◄ | 1903 | 1904 | 1905 | 1906 | 1907 | 1908 | 1909 | 1910 | 1911 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1907 BK (Baada ya Kristo).
Matukio [hariri]
- 17 Desemba - Nchi ya Bhutan imekuwa umonaki kupitia kwa uchaguzi wa Ugyen Wangchuk kama mfalme wa kwanza.
Waliozaliwa [hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1907 MCMVII |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5667 – 5668 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1899 – 1900 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1356 ԹՎ ՌՅԾԶ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1325 – 1326 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1285 – 1286 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 1962 – 1963 |
| - Shaka Samvat | 1829 – 1830 |
| - Kali Yuga | 5008 – 5009 |
| Kalenda ya Kichina | 4603 – 4604 丙午 – 丁未 |
- 23 Januari - Hideki Yukawa, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1949
- 3 Februari - James Michener (mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1948)
- 23 Machi - Daniel Bovet (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1957)
- 24 Machi - Janet Bragg, rubani wa kike kutoka Marekani
- 15 Aprili - Nikolaas Tinbergen (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1973)
- 25 Juni - Johannes Hans Daniel Jensen (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1963)
- 6 Julai - Frida Kahlo, mchoraji kutoka Mexiko
- 18 Septemba - Edwin McMillan (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1951)
- 2 Oktoba - Alexander Todd (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1957)
Waliofariki [hariri]
- 16 Februari - Giosue Carducci (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1906)
- 20 Februari - Henri Moissan (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1906)
- 7 Septemba - Sully Prudhomme (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1901)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: