1949
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1910 | Miaka ya 1920 | Miaka ya 1930 | Miaka ya 1940 | Miaka ya 1950 | Miaka ya 1960 | Miaka ya 1970 | ►
◄◄ | ◄ | 1945 | 1946 | 1947 | 1948 | 1949 | 1950 | 1951 | 1952 | 1953 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1949 BK (Baada ya Kristo).
Matukio [hariri]
- Jumuiya ya Kibritania inabadilisha jina kuwa Jumuiya ya Madola kama ushirikiano wa Uingereza na koloni zake za zamani
- Kuundwa kwa madola mawili katika Ujerumani yaani:
- 23 Mei - Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani (mji mkuu Bonn) na
- 7 Oktoba - Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kijerumani (mji mkuu Berlin ya Mashariki)
- 27 Desemba - Nchi ya Indonesia inashinda vita na kupata uhuru kutoka Uholanzi.
Waliozaliwa [hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1949 MCMXLIX |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5709 – 5710 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1941 – 1942 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1398 ԹՎ ՌՅՂԸ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1368 – 1370 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1327 – 1328 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 2004 – 2005 |
| - Shaka Samvat | 1871 – 1872 |
| - Kali Yuga | 5050 – 5051 |
| Kalenda ya Kichina | 4645 – 4646 戊子 – 己丑 |
- 22 Januari - Joseph Hill, mwimbaji kutoka Jamaika
- 30 Januari - Peter Agre, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2003
- 6 Machi - Benn Haidari, mpishi wa kiZanzibar nchini Ufini
- 6 Aprili - Horst Störmer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1998
- 26 Mei - Ward Cunningham, mgunduzi wa wiki kutoka Marekani
- Julai - Norbert Zongo, mhariri wa gazeti nchini Burkina Faso
- 15 Julai - Anna Semamba Makinda, mwanasiasa wa Tanzania
- 12 Septemba - Jeremy Cronin, mwandishi wa Afrika Kusini
- 6 Oktoba - Bobby Farrell, mwimbaji wa Kijerumani kutoka Aruba
- 16 Desemba - Kilontsi Mbebhaghu M. Mporogomyi, mwanasiasa wa Tanzania
- 21 Desemba - Thomas Sankara, Rais wa Burkina Faso (1983-1987)
Waliofariki [hariri]
- 30 Machi - Friedrich Bergius (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1931)
- 5 Mei - Maurice Maeterlinck (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1911)
- 10 Juni - Sigrid Undset (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1928)
- 13 Septemba - August Krogh (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1920)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: