27 Desemba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Nov - Desemba - Jan | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1945 - Kuundwa kwa IMF (Shirika la Kimataifa la Fedha).
- 1949 - Nchi ya Indonesia inashinda vita na kupata uhuru kutoka Uholanzi.
Waliozaliwa [hariri]
- 1571 - Johannes Kepler, mwanafalaki kutoka Ujerumani
- 1717 - Papa Pius VI
- 1901 - Marlene Dietrich, mwigizaji filamu na mwimbaji kutoka Ujerumani
- 1943 - Joan Manuel Serrat, mwimbaji kutoka Hispania
- 1952 - Salome Joseph Mbatia, mwanasiasa wa kike kutoka Tanzania
Waliofariki [hariri]
- 1938 - Zona Gale, mwandishi wa kike kutoka Marekani
- 1999 - Horst Matthai Quelle, mwanafalsafa kutoka Ujerumani
- 2007 - Benazir Bhutto, mwanasiasa kutoka Pakistan aliuawa