9 Desemba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Nov - Desemba - Jan | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1868 - Fritz Haber (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1918)
- 1917 - James Rainwater (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1975)
- 1919 - William Lipscomb, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1976
- 1919 - Mary Benson, mwandishi wa kike wa Afrika Kusini
- 1926 - Henry Kendall (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1990)
- 1952 - Ludovic Minde, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 1957 - Jacob Venance Koda, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
Waliofariki [hariri]
- 1437 - Kaisari Sigismund wa Ujerumani
- 1565 - Papa Pius IV
- 1669 - Papa Klementi IX
- 1937 - Nils Dalen (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1912)
- 1971 - Ralph Bunche (mwanasiasa Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1950)