Jacob Venance Koda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jacob Venance Koda (amezaliwa 9 Desemba 1957) ni askofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania.

Aliwekwa wakfu na Kardinali Polycarp Pengo mwaka 1999.

Tangu mwaka huo alikuwa askofu wa Jimbo la Same hadi alipojiuzulu mwaka 2009.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.