1919
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1880 | Miaka ya 1890 | Miaka ya 1900 | Miaka ya 1910 | Miaka ya 1920 | Miaka ya 1930 | Miaka ya 1940 | ►
◄◄ | ◄ | 1915 | 1916 | 1917 | 1918 | 1919 | 1920 | 1921 | 1922 | 1923 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1919 BK (Baada ya Kristo).
[hariri] Matukio
- 28 Juni - - Mkataba wa Versailles kusainiwa - mwisho wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia kati ya Ujerumani na washindi
- 19 Agosti - Nchi ya Afghanistan inapata uhuru kutoka Uingereza.
- 31 Oktoba - Nchi ya Iraq inapata uhuru kutoka Uturuki.
[hariri] Waliozaliwa
| Kalenda ya Gregori | 1919 MCMXIX |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5679 – 5680 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1911 – 1912 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1368 ԹՎ ՌՅԿԸ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1338 – 1339 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1297 – 1298 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 1974 – 1975 |
| - Shaka Samvat | 1841 – 1842 |
| - Kali Yuga | 5020 – 5021 |
| Kalenda ya Kichina | 4615 – 4616 戊午 – 己未 |
- 13 Januari - Ali Muhsin al-Barwani, mwanasiasa kutoka Zanzibar
- 17 Machi - Nat King Cole, mwanamuziki kutoka Marekani
- 22 Aprili - Donald Cram, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1987
- 19 Juni - Placidus Gervasius Nkalanga, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 20 Julai - Edmund Hillary, mpelelezi kutoka New Zealand
- 28 Agosti - Godfrey Hounsfield, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1979
- 18 Oktoba - Suzanne Bachelard, mwanafalsafa wa Ufaransa
- 22 Oktoba - Doris Lessing, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 2007
- 9 Desemba - Mary Benson, mwandishi wa kike wa Afrika Kusini
- 9 Desemba - William Lipscomb, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1976
bila tarehe
- Noni Jabavu, mwandishi wa Afrika Kusini
[hariri] Waliofariki
- 6 Januari - Theodore Roosevelt (Rais wa Marekani, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1906)
- 22 Januari - Carl Larsson, mchoraji kutoka Uswidi
- 30 Juni - Lord Rayleigh (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1904)
- 15 Julai - Hermann Emil Fischer (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1902)
- 11 Oktoba - Karl Gjellerup (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1917)
- 15 Novemba - Alfred Werner (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1913)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: