15 Julai
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jun - Julai - Ago | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Tarehe 15 Julai ni sikukuu ya Mtakatifu Bonaventura.
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1606 - Rembrandt, mchoraji kutoka Uholanzi
- 1850 - Frances Cabrini
- 1918 - Bertram Brockhouse, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1994
- 1921 - Robert Merrifield, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1984
- 1922 - Leon Lederman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1988
- 1949 - Anna Semamba Makinda, mwanasiasa wa Tanzania
- 1956 - Chacha Zakayo Wangwe, mwanasiasa wa Tanzania
Waliofariki [hariri]
- 1274 - Mtakatifu Bonaventura wa Bagnoregio, mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Italia
- 1904 - Anton Chekhov, mwandishi Mrusi
- 1919 - Hermann Emil Fischer (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1902)
- 1932 - Cornelis Langenhoven, mwandishi wa Afrika Kusini