1 Julai
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jun - Julai - Ago | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1890 - Mkataba wa Helgoland-Zanzibar kati ya Ujerumani na Uingereza
- 1960 - Somalia ya Kusini inapata uhuru kutoka Italia.
- 1962 - Nchi za Burundi na Rwanda zinapata uhuru kutoka Ubelgiji.
Waliozaliwa [hariri]
- 1646 - Gottfried Leibniz, mwanafalsafa wa Ujerumani
- 1876 - Susan Glaspell, mwandishi wa kike kutoka Marekani
- 1879 - Leon Jouhaux (kiongozi Mfaransa wa chama cha wafanyakazi, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1951)
- 1929 - Gerald Edelman (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1972)
- 1964 - Guillermo Martín Abanto Guzmán, askofu msaidizi Mkatoliki nchini Peru
Waliofariki [hariri]
- 1971 - Lawrence Bragg (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1915)
- 2001 - Nikolai Basov (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1964)
- 2004 - Marlon Brando, mwigizaji filamu kutoka Marekani