9 Julai
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jun - Julai - Ago | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Tarehe 9 Julai ni sikukuu yake Mtakatifu John Fisher.
Matukio [hariri]
- 1153 - Uchaguzi wa Papa Anastasio IV
- 1816 - Nchi ya Argentina inatangaza uhuru wake.
Waliozaliwa [hariri]
- 1578 - Kaisari Ferdinand II wa Ujerumani
- 1654 - Reigen, Mfalme Mkuu wa Japani (1663-1687)
- 1887 - Samuel Eliot Morison, mwandishi na mwanahistoria kutoka Marekani
- 1926 - Ben Mottelson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1975)
Waliofariki [hariri]
- 1850 - Zachary Taylor, Rais wa Marekani (1849-1850)