29 Julai
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jun - Julai - Ago | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1898 - Isidor Rabi, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1944
- 1900 - Eyvind Johnson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1974)
- 1938 - Enzo G. Castellari, mwongozaji wa filamu kutoka Italia
- 1981 - Fernando Alonso, dereva wa Formula One kutoka Hispania
Waliofariki [hariri]
- 238 - Balbinus, Kaisari wa Dola la Roma aliuawa
- 238 - Pupienus, Kaisari wa Dola la Roma aliuawa
- 1099 - Papa Urban II
- 1644 - Papa Urban VIII
- 1856 - Robert Schumann, mtunzi wa muziki kutoka Ujerumani
- 1890 - Vincent van Gogh, mchoraji kutoka Uholanzi
- 1913 - Tobias Asser (mwanasheria Mholanzi, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1911)
- 1994 - Dorothy Hodgkin (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1964)