Papa Urban VIII
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Urban VIII (Aprili 1568 – 29 Julai, 1644) alikuwa papa kuanzia 6 Agosti, 1623 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Maffeo Barberini. Alimfuata Papa Gregori XV.
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Urban VIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |