2 Julai
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jun - Julai - Ago | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 419 - Valentinian III, Kaisari wa Dola la Roma Magharibi (425-455)
- 1862 - William Henry Bragg (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1915)
- 1877 - Hermann Hesse (mwandishi Mjerumani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1946)
- 1906 - Hans Bethe (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1967)
- 1923 - Wislawa Szymborska (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1996)
- 1925 - Patrice Lumumba, Waziri Mkuu wa kwanza wa [[Jamhuri
- 1954 - Omar Shabani Kwaangw', mwanasiasa wa Tanzania
Waliofariki [hariri]
- 1961 - Ernest Hemingway (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1954)
- 1977 - Vladimir Nabokov, mwandishi wa Urusi na wa Marekani