20 Julai
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jun - Julai - Ago | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
[hariri] Matukio
- 1969 - Wanaanga Neil Armstrong na Buzz Aldrin ni watu wa kwanza kufika kwenye uso wa mwezi.
[hariri] Waliozaliwa
- 1519 - Papa Innocent IX
- 1864 - Erik Axel Karlfeldt (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1931)
- 1897 - Tadeus Reichstein (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1950)
- 1919 - Edmund Hillary, mpelelezi kutoka New Zealand
- 1925 - Frantz Fanon, mwandishi wa Kifaransa kutoka Martinique
- 1947 - Gerd Binnig (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1986)
[hariri] Waliofariki
- 1903 - Papa Leo XIII
- 1937 - Guglielmo Marconi (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1909)
- 1973 - Bruce Lee, mtaalamu wa Kung Fu na mwigizaji filamu kutoka Marekani