Balbinus
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Decimus Caelius Calvinus Balbinus (takriban 165 – 29 Julai, 238) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma, pamoja na Pupienus, kuanzia 22 Aprili, 238 hadi kifo chake. Walimfuata Gordian II wakiasi dhidi ya Maximinus Thrax.
| Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Balbinus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |