1994
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Miaka: | 1991 1992 1993 - 1994 - 1995 1996 1997 |
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
[hariri] Waliofariki
- 20 Januari - Jaramogi Oginga Odinga, mwanasiasa kutoka Kenya
- 9 Februari - Howard Temin (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1975)
- 16 Julai - Julian Schwinger (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1965)
- 23 Julai - Mario Brega, mwigizaji wa filamu kutoka Italia
- 29 Julai - Dorothy Hodgkin (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1964)
- 14 Agosti - Elias Canetti (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1981)
- 18 Agosti - R.L.M. Synge (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1952)
- 19 Agosti - Linus Pauling (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1954, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1962)
- 30 Septemba - André Lwoff, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1965

