Howard Temin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Howard Temin

Howard Martin Temin (10 Desemba 19349 Februari 1994) alikuwa daktari kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza virusi vinavyosababisha kansa. Mwaka wa 1975, pamoja na David Baltimore na Renato Dulbecco alikuwa mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]].


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Howard Temin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.