20 Januari
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Des - Januari - Feb | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
[hariri] Matukio
- 2009 - Barack Obama ametawazwa kama Rais wa 44 wa Marekani, akiwa Rais wa kwanza kuwa mweusi.
[hariri] Waliozaliwa
- 225 - Gordian III, Kaisari wa Dola la Roma
- 1716 - Mfalme Carlos III wa Hispania
- 1873 - Johannes Vilhelm Jensen (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1944)
- 1920 - Federico Fellini, mwongozaji wa filamu kutoka Italia
- 1925 - Ernesto Cardenal
- 1931 - David Lee, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1996
[hariri] Waliofariki
- 1612 - Kaisari Rudolf II wa Ujerumani
- 1745 - Kaisari Karoli VII, Mfalme Mkuu wa Ujerumani
- 1898 - Ivan Shishkin, mchoraji wa Urusi
- 1994 - Jaramogi Oginga Odinga, mwanasiasa kutoka Kenya