15 Januari
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Des - Januari - Feb | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 1866 - Nathan Söderblom (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1930)
- 1895 - Artturi Ilmari Virtanen (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1945)
- 1929 - Martin Luther King, Jr., mchungaji na mwanaharakati kutoka Marekani
- 1947 - Martin Chalfie (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2008)
- 1950 - Anna Valerian Komu, mwanasiasa wa Tanzania
- 1954 - Saning'o Kaika Ole Telele, mwanasiasa wa Tanzania
[hariri] Waliofariki
- 69 - Galba, Kaisari wa Dola la Roma
- 1909 - Mtakatifu Arnold Janssen (padre Mkatoliki kutoka Ujerumani)
- 1966 - Ahmadu Bello, mwanasiasa wa Nigeria