Fransisko Ferdinando de Capillas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wafiadini Wakatoliki wa China.

Fransisko Fernández (au Ferdinando) de Capillas, O.P. (15 Agosti 160715 Januari 1648) alikuwa padri kutoka Hispania aliyefanya umisionari Ufilipino na barani Asia akafungwa muda mrefu akauawa kwa kukatwa kichwa huko Fu’an, nchini China kwa ajili ya imani yake ya Kikristo wakati wa dhuluma ya Watartari.[1]

Alitangazwa kuwa mtakatifu pamoja na wengine 119 waliofuata kifodini chake na Papa Yohane Paulo II tarehe 1 Oktoba 2000.[2]

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake, lakini pamoja na wenzake ni tarehe 9 Julai[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Saint Francis Ferdinand de Capillas". Patron Saints Index. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-05-06. Iliwekwa mnamo 2008-04-24. 
  2. "Den hellige Frans Fernández de Capillas (1607-1648)" (kwa Norwegian). katolsk.no. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-02-09. Iliwekwa mnamo 2009-04-24. 
  3. Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.