15 Agosti
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jul - Agosti - Sep | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- Katika mapokeo ya Kanisa Katoliki ni sikukuu ya kupalizwa mbinguni kwa Bikira Maria
- 1537 - Mji wa "Nuestra Señora Santa María de la Asunción" unaundwa kando ya mto Paraguay utakaokuwa mji mkuu wa nchi ya Paraguay.
- 1888 - Shirika la Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki linaanza kutawala pwani ya Tanganyika iliyokodiwa na Zanzibar - chanzo cha vita ya Abushiri
- 1945 - Japani inajisalimisha; mwisho wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia katika Asia.
- 1960 - Jamhuri ya Kongo inapata uhuru kutoka Ufaransa.
- 1971 - Nchi ya Bahrain inapata uhuru kutoka Uingereza.
Waliozaliwa [hariri]
- 1195 - Mtakatifu Antoni wa Padua, padri mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Ureno
- 1769 - Napoleon Bonaparte, Mfalme wa Ufaransa
- 1897 - Louis-Victor Broglie, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1929
- 1925 - Oscar Peterson, mwanamuziki wa Kanada
- 1930 - Tom Mboya, mwanasiasa wa Kenya
- 1943 - Barbara Bouchet, mwigizaji filamu wa Italia
- 1956 - Daniel Nicodemus Nsanzugwako, mwanasiasa wa Tanzania
- 1974 - Natasha Henstridge, mwigizaji wa filamu kutoka Kanada
Waliofariki [hariri]
- 423 - Honorius, Kaisari wa Dola la Roma Magharibi (tangu 395)
- 465 - Libius Severus, Kaisari wa Dola la Roma Magharibi
- 1936 - Grazia Deledda (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1926)
- 1982 - Hugo Theorell (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1955)
- 2004 - Sune Bergström, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1982