26 Agosti
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jul - Agosti - Sep | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1874 - Zona Gale, mwandishi wa kike kutoka Marekani
- 1882 - James Franck (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1925)
- 1910 - Mtakatifu Mama Teresa, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1979 kutoka Albania
- 1953 - Edward Lowassa, Waziri Mkuu wa Tanzania (2005-2008)
Waliofariki [hariri]
- 1987 - Georg Wittig, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1979
- 1998 - Frederick Reines, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1995