Oscar Peterson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Oscar Peterson

Oscar Emmanuel Peterson (15 Agosti, 192523 Desemba, 2007) alikuwa mwanamuziki kutoka nchi ya Kanada. Alizaliwa huko Montreal, Quebec. Hasa alikuwa anapiga muziki wa Jazz.

WikiMedia Commons
Musical notes.svg Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Oscar Peterson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.