Taifa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Kila kundi la binadamu lenye utamaduni wake maalumu na mapokeo yake katika historia ya eneo fulani linaunda taifa.

Kila mojawapo lina haki ni kujitambua hivyo na kuhamasisha mshikamano kati ya watu wanaoliunda hata kujipatia uhuru wa kisiasa walau kwa kiasi fulani.

Katika Kilatini linatumika neno natio linalotokana na nasci ("kuzaliwa").