Sune Bergström

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Sune Bergström
Tuzo Nobel.png

Sune Bergström (10 Januari, 191615 Agosti, 2004) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uswidi. Hasa alichunguza tezi kibofu. Mwaka wa 1982, pamoja na Bengt Samuelsson na John Vane alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.


Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sune Bergström kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine