Daniel Nicodemus Nsanzugwako

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Daniel Nicodemus Nsanzugwako (amezaliwa tar. 15 Agosti 1956) ni mbunge wa jimbo la Kasulu Mashariki katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri]

Marejeo[hariri]

  1. Mengi kuhusu Daniel Nicodemus Nsanzugwako (13 Julai 2006). Rudishwa juu ya 11 Novemba 2011.