13 Agosti
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jul - Agosti - Sep | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1099 - Uchaguzi wa Papa Paskali II
- 1521 - Jeshi la Hernan Cortez lateka mji wa Tenochtitlan (Mexiko) na kuuharibu kabisa linaua makumi elfu ya wakazi wake.
- 1960 - Jamhuri ya Afrika ya Kati inapata uhuru kutoka Ufaransa.
- 1961 - Ukuta wa Berlin unajengwa na kugawa mji katika sehemu za Berlin ya Mashariki na Berlin ya Magharibi kwa miaka 28 ifuatayo hadi 1989.
Waliozaliwa [hariri]
- 1872 - Richard Willstatter, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1915
- 1873 - Cornelis Langenhoven, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1899 - Alfred Hitchcock, mwongozaji wa filamu kutoka Uingereza
- 1912 - Salvador Luria, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1969
- 1918 - Frederick Sanger (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1958)
- 1926 - Fidel Castro, Rais wa Kuba
- 1956 - Koffi Olomide, mwimbaji wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
- 1967 - Amélie Nothomb, mwandishi kutoka Ubelgiji
Waliofariki [hariri]
- 1910 - Florence Nightingale, muuguzi mashuhuri kutoka Uingereza
- 1917 - Eduard Buchner (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1907)