1917
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1880 | Miaka ya 1890 | Miaka ya 1900 | Miaka ya 1910 | Miaka ya 1920 | Miaka ya 1930 | Miaka ya 1940 | ►
◄◄ | ◄ | 1913 | 1914 | 1915 | 1916 | 1917 | 1918 | 1919 | 1920 | 1921 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1917 BK (Baada ya Kristo).
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1917 MCMXVII |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5677 – 5678 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1909 – 1910 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1366 ԹՎ ՌՅԿԶ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1335 – 1337 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1295 – 1296 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 1972 – 1973 |
| - Shaka Samvat | 1839 – 1840 |
| - Kali Yuga | 5018 – 5019 |
| Kalenda ya Kichina | 4613 – 4614 丙辰 – 丁巳 |
- 25 Januari - Ilya Prigogine, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1977
- 14 Februari - Herbert Hauptman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1985
- 24 Machi - John Kendrew (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1962)
- 10 Aprili - Robert Woodward (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1965)
- 25 Aprili - Ella Fitzgerald, mwimbaji wa kike Mmarekani wa Jazz
- 26 Aprili - Ieoh Ming Pei, msanifu majengo kutoka China na Marekani
- 29 Mei - John F. Kennedy (Rais wa Marekani)
- 1 Juni - William Knowles, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2001
- 7 Juni – Gwendolyn Brooks (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1949)
- 15 Juni - John Fenn, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2002
- 7 Septemba - John Cornforth, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1975
- 10 Septemba - Masahiko Kimura, mwanariadha kutoka Japani
- 2 Oktoba - Christian de Duve (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1974)
- 4 Oktoba - Violeta Parra, mwimbaji na mwanasiasa wa Chile
- 8 Oktoba - Rodney Porter (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1972)
- 21 Oktoba - Dizzy Gillespie, mwanamuziki kutoka Marekani
- 27 Oktoba - Oliver Tambo, mwanasiasa kutoka Afrika Kusini
- 22 Novemba - Andrew Huxley, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1963
- 9 Desemba - James Rainwater (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1975)
- 21 Desemba - Heinrich Boll (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1972)
Waliofariki [hariri]
- 16 Februari - Octave Mirbeau, mwandishi Mfaransa
- 31 Machi - Emil von Behring (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1901)
- 27 Julai - Emil Theodor Kocher (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1909)
- 13 Agosti - Eduard Buchner (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1907)
- 20 Agosti - Adolf von Baeyer (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1905)
- 22 Desemba - Frances Cabrini
Wikimedia Commons ina media kuhusu: