Ilya Prigogine
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ilya Prigogine (25 Januari, 1917 – 28 Mei, 2003) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ubelgiji. Alizaliwa nchini Urusi. Hasa alichunguza jinsi mfumo wa ulimwengu ukwepavyo hali ya kupoteza nishati. Mwaka wa 1977 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
| Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ilya Prigogine kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |