Ubelgiji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Koninkrijk België
Royaume de Belgique
Königreich Belgien

Ufalme wa Ubelgiji
Bendera ya Ubelgiji Nembo ya Ubelgiji
Bendera Nembo
Wito la taifa: Kifaransa: L'union fait la force ;
Kiholanzi: Eendracht maakt macht ;
Kijerumani: Einigkeit macht stark.
(Kiswahili: "Umoja ni nguvu")
Wimbo wa taifa: La Brabançonne (Wimbo la Brabant)
Lokeshen ya Ubelgiji
Mji mkuu Brussels
50°54′ N 4°32′ E
Mji mkubwa nchini Brussels
Lugha rasmi Kiholanzi, Kifaransa, Kijerumani
Serikali Ufalme wa kikatiba
Albert II
Elio Di Rupo
Uhuru
Mapinduzi ya Ubelgiji
1830
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
30,528 km² (ya 140)
6.2
Idadi ya watu
 - 2008 kadirio
 - 2001 sensa
 - Msongamano wa watu
 
10,666,866 (ya 76)
10,296,350
349/km² (ya 29)
Fedha Euro (EUR)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
CET (UTC+1)
CEST (UTC+2)
Intaneti TLD .be
Kodi ya simu +32

-


Ubelgiji (België kwa Kiholanzi, Belgique kwa Kifaransa na Belgien kwa Kijerumani) ni nchi ya Ulaya ya Magharibi. Imepakana na Ufaransa, Uholanzi, Ujerumani na Luxemburg. Ina pwani na Bahari ya Kaskazini. Mji mkuu ni Brussels.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Majimbo[hariri | hariri chanzo]

Ubelgiji ina majimbo matatu:

Katika Wallonia kuna pia wilaya ambakao wakazi wanatumia hasa lugha ya Kijerumani ambacho ni lugha ya tatu ya kitaifa.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Europa Mapa.png Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ubelgiji kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.