Albania
Kutoka Wikipedia
|
|||||
| Wito la taifa: Feja e Shqiptarit eshte Shqiptaria (Kialbania: "Imani wa Walbania ni Ualbania") | |||||
| Wimbo wa taifa: Hymni i Flamurit ("Wimbo kwa bendera") |
|||||
![]() |
|||||
| Mji mkuu | Tirana |
||||
| Mji mkubwa nchini | Tirana | ||||
| Lugha rasmi | Kialbania | ||||
| Serikali | demokrasia Alfred Moisiu Sali Berisha |
||||
| Uhuru Tarehe |
28 Novemba 1912 |
||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
28 748 km² (ya 139) 4.7% |
||||
| Idadi ya watu - 2006 kadirio - Msongamano wa watu |
3,581,655 (ya 134) 123/km²/km² (63) |
||||
| Ethnic groups ({{{Ethnic_groups_year}}}) | {{{Ethnic_groups}}} | ||||
| Fedha | Lek (ALL) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
CET (UTC+1) CEST (UTC+2) |
||||
| Intaneti TLD | .al | ||||
| Kodi ya simu | +355 |
||||
Jamhuri ya Albania ni nchi ya Ulaya Kusini Mashariki. Imepakana na Montenegro, Kosovo, Jamhuri ya Masedonia na Ugiriki. Upande wa magharibi kuna pwani la ghuba ya Adria ya Mediteranea.
Kuna wakazi milioni nne. Mji mkuu ni Tirana. Zaidi ya 90% za wakazi hutumia lahaja za Kialbania ambacho ni lugha ya pekee kati ya lugha za Kihindi-Kiulaya.
Albania ni kati ya nchi maskini zaidi za Ulaya. Kati 1945 hadi 1990 ilitawaliwa na chama cha kikomunisti iliyotangaza Albania kuwa nchi ya kwanza ya kiatheisti iliyopiga marufuku kila aina ya dini.
| Makala hiyo kuhusu "Albania" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Albania kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |


