Ghuba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ghuba ni hori kubwa ya bahari inayopakana na nchi kavu pande mbili au tatu.
Mara nyingi ghuba hutokea kutokana na misogeo ya ganda la dunia inayosababisha maji kujaa nafasi iliyojitokeza.
Ghuba zinazojulikana ni kama vile Ghuba ya Guinea, Ghuba ya Uajemi, Ghuba ya Mexiko au Bahari ya Shamu.
| Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ghuba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |