Eire
Kutoka Wikipedia
|
|||||
| Wito la taifa: {{{national_motto}}} | |||||
| Wimbo wa taifa: Amhrán na bhFiann "Wimbo wa Askari" |
|||||
| Mji mkuu | Dublin |
||||
| Mji mkubwa nchini | Dublin | ||||
| Lugha rasmi | Kieire, Kiingereza | ||||
| Serikali | Jamhuri Mary McAleese Bertie Ahern, TD |
||||
| Uhuru Ilitangazwa Ilitambuliwa Katiba |
24 Aprili 1916 6 Desemba 1922 29 Desemba 1937 |
||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
70,273 km² (ya 120) 2.00 |
||||
| Idadi ya watu - 2006 kadirio - Msongamano wa watu |
4,234,925 (ya 121) 60.3/km² (ya 139) |
||||
| Ethnic groups ([[{{{Ethnic_groups_year}}}]]) | {{{Ethnic_groups}}} | ||||
| Fedha | Euro (€)1 (EUR) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
WET (UTC+0) IST (WEST) (UTC+1) |
||||
| Intaneti TLD | .ie2 | ||||
| Kodi ya simu | +353 |
||||
| 1 kabla ya 1999: Irish pound. 2 kuna pia anwani za .eu (Umoja wa Ulaya) |
|||||
Eire (pia: Ireland, Ayalandi) ni nchi ya kisiwani katika funguvisiwa ya Britania ya Ulaya.
Kaskazini ya kisiwa ni sehemu ya Ufalme wa Maungano (Uingereza). Mji mkuu ni Dublin. Wakazi walio wengi hutumia lugha ya Kiingereza lakini lugha ya Kieire ni lugha ya kwanza ya taifa. Kinazungumzwa katika maeneo kadhaa ya vijijini na hufundishwa shuleni.
Eire ilitawaliwa na Uingereza hadi 1922.
| Makala hiyo kuhusu "Eire" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Eire kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |

