Romania
Kutoka Wikipedia
|
|||||
| Wito la taifa: -- | |||||
| Wimbo wa taifa: Deşteaptă-te, române! | |||||
| Mji mkuu | Bukarest (Bucureşti) |
||||
| Mji mkubwa nchini | Bukarest | ||||
| Lugha rasmi | Kiromania | ||||
| Serikali | Jamhuri Traian Băsescu Călin Popescu-Tăriceanu |
||||
| Uhuru Ilitangazwa ilitambiluwa |
9 Mei 1877 (Kalenda ya Juliasi)2 13 Julai 18783 |
||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
238,391 km² (ya 82) 3 |
||||
| Idadi ya watu - Julai 2006 kadirio - 2002 sensa - Msongamano wa watu |
22,303,552 (ya 50) 21,680,974 91/km² (ya 104) |
||||
| Ethnic groups ([[{{{Ethnic_groups_year}}}]]) | {{{Ethnic_groups}}} | ||||
| Fedha | Leu (RON) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
EET (UTC+2) EEST (UTC+3) |
||||
| Intaneti TLD | .ro | ||||
| Kodi ya simu | +40 |
||||
| 1Lugha kama Kihungaria, Kijerumani, Kiromani, Kiukraine na Kiserbia hutumiwa kieneo kwenye ngazi kadhaa 3 Mkataba wa Berlin wa 1878. |
|||||
Romania (Kiromania: Româna) ni nchi ya Ulaya ya kusini-mashariki. Imepakana na Hungaria, Serbia, Ukraine, Moldova na Bulgaria. Kuna pwani kwenye Bahari Nyeusi. Romania ina wakazi milioni 23 katika eneo la 238.391 km², mji mkuu ni Bukarest.
Lugha ya nchi ni Kiromania ambayo ni lugha ya Kirumi kama Kifaransa, Kiitalia na Kihispania.
| Makala hiyo kuhusu "Romania" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Romania kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |

