Demokrasia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Demokrasia (ni neno kutoka lugha ya Kigiriki, demokratia maana yake utawala na watu) ni aina ya serikali. Kwenye demokrasia, watu fulani wa kwenye jumuia wanamchagua kiongozi wao. Kuna njia kede-kede za kufanya hivi, lakini mchakato kamili kikawaida huitwa kushikilia uchaguzi.

Vyama vya kisiasa] uhusika na masuala ya kisiasa. Yaonekana kwamba yaweza kuwa rahisi kuwa na chama cha kisiasa. Chama kitakachoshinda uchaguzi watamchagua kiongozi wanayemtaka.

Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine