Jersey
Kutoka Wikipedia
Jersey ni kisiwa kikubwa kati ya Visiwa vya mfereji wa Kiingereza chenye wakazi 90,000. Kipo karibu na pwani la Ufaransa lakini ni eneo chini ya taji la Uingereza isipokuwa si sehemu ya Uingereza mwenyewe.
Mji wa pekee ni Saint Helier.
Lugha zinazotumiwa ni hasa Kiingereza, Kifaransa na pia Kijersey (Jèrriais) lakini lugha hii ya kienyeji imebaki na wasemaji wachache.
[hariri] Viungo vya Nje
- About Jersey (Visitors' guide)
- Les Pâraîsses d'Jèrri en Jèrriais (map of parishes, coat-of-arms, and history)
- States of Jersey
- BBC Jersey
- Jersey History
- This is Jersey (Local Portal)
- Jersey Insight (Local Portal)
- Map of Jersey
| Makala hiyo kuhusu "Jersey" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Jersey kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |

