Montenegro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Република Црна Гора
Republika Crna Gora

Jahuri ya Montenegro
Bendera ya Montenegro Nembo ya Montenegro
Bendera Nembo
Wito la taifa:
Wimbo wa taifa: Oj, svijetla majska zoro
"Ewe pambazuko la Mei"
Lokeshen ya Montenegro
Mji mkuu Podgorica
42°47′ N 19°28′ E
Mji mkubwa nchini Podgorica
Lugha rasmi Kiserbia
Serikali Jamhuri
Filip Vujanović
Milo Đukanović
Uhuru
Ilitangazwa
Ilitambuliwa
3 Juni 2006
8 Juni 2006
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
13,812 km² (ya 159)
1.5
Idadi ya watu
 - 2004 kadirio
 - 2003 sensa
 - Msongamano wa watu
 
630,548 (ya 164)
620,145
44.9/km² (ya 152)
Fedha Euro2 (EUR)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
CET (UTC+1)
CEST (UTC+2)
Intaneti TLD .yu (.me)3
Kodi ya simu +381(+382)4
1 Kikatiba; Kialbania kieneo kwenye mji wa Ulcinj.
2 Montenegro si nchi mwanachama wa mkataba wa Euro.
3 .me itaanzishwa 2007 na .yu ni mabaki ya zamani za Yugoslavia [1].
4 +382 ni namba mpya lakini haijatumika bado


Ramani ya Montenegro

Montenegro (Kiserbia: Црна Гора au Crna Gora = mlima mweusi) ni nchi ndogo ya ya Ulaya kwenye rasi ya Balkani. Ina pwani la Mediteranea ikipakana na Albania, Kroatia, Serbia na Masedonia.

Nchi ilipata uhuru wake baada ya kuachana na shirikisho la Serbia na Montenegro tar. 22 Mei 2006.

Montenegro iliwahi kuwa nchi ya kujitegemea kabla ya Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia. Kati ya 1918 hadi 1992 ilikuwa sehemu ya Yugoslavia, kwanza kama eneo tu ndani ya ufalme wa Yugoslavia halafu kama jamhuri ndani ya shirikisho la Yugoslavia.

Europa Mapa.png Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Montenegro kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

[[sco:MontenegroY]