Slovakia
|
|||||
| Wito la taifa: -- | |||||
| Wimbo wa taifa: Nad Tatrou sa blýska ("Radi juu ya milima ya Tatra") |
|||||
![]() |
|||||
| Mji mkuu | Bratislava |
||||
| Mji mkubwa nchini | Bratislava | ||||
| Lugha rasmi | Kislovakia | ||||
| Serikali | Democrasia Ivan Gašparovič Iveta Radičová |
||||
| Uhuru kutoka Chekoslovakia |
tarehe 1 Januari 1993 |
||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
49,037 km² (ya 130) -- |
||||
| Idadi ya watu - Julai 2005 kadirio - 2001 sensa - Msongamano wa watu |
5,401,000 (ya 110) 5,379,455 111/km² (ya 88) |
||||
| Fedha | EURO (€) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
CET (UTC+1) CEST (UTC+2) |
||||
| Intaneti TLD | .sk2 | ||||
| Kodi ya simu | +4213
- |
||||
Slovakia (Kislovakia: Slovensko) ni nchi ya Ulaya ya Kati yenye wakazi milioni tano na nusu. Imepakana na Ucheki, Austria, Poland, Ukraine na Hungaria. Mji mkubwa na mji mkuu ni Bratislava. Slovakia imekuwa nchi mwanachama wa Umoja wa Ulaya tangu 1 Mei 2004.
Miji muhimu baada ya Bratislava ni Košice, Banská Bystrica, Žilina, Trenčín, Nitra, Prešov na Trnava.
Wakazi walio wengi wanasema Kislovakia lakini kieneo kuna pia wasemaji wa Kihungaria, Kibelarus na Kiukraine.
Historia [hariri]
Kwa sehemu kubwa ya historia yake hadi 1918 Slovakia ilikuwa chini ya watawala wa Habsburg waliokuwa wafalme na makaisari wa Austria. Baada ya vita kuu ya kwanza ya dunia Slovakia ilipata uhuru pamoja na Ucheki katika nchi ya Chekoslovakia. Mwaka 1993 Ucheki na Slovakia ziliachana na kuwa nchi ya pekee kila moja.
Viungo vya Nje [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Slovakia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
|
||||||||||||||
