Balkani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rasi ya Balkani hadi mstari wa mito ya Isonzo-Krka-Sava-Danubi
Rasi ya Balkani hadi mstari wa mito ya Isonzo-Krka-Sava-Danubi
Ramani ya kisiasa 2004
Ramani ya kisiasa 2004

Rasi ya Balkani ni jina la kihistoria kwa ajili ya sehemu ya kusini-mashariki ya Ulaya.

Jina limetokana na safu ya milima ya Balkani inayopatikana katika Bulgaria na Serbia.

[hariri] Nchi za Balkani

Hakuna mapatano kikamili ni nchi zipi zinazohesabiwa kuwa sehemu za Balkani lakini mara nyingi hitajwa zifuatazo:

Mara nyingi hata nchi zifuatazo huhesabiwa humo:


[hariri] Historia

Nchi za Balkani ziko tofauti lakini zinashirikiana historia ya pekee ya pamoja:


Image:WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Balkani" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Balkani kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

Vifaa binafsi