Ugiriki
Kutoka Wikipedia
|
|||||
| Wito la taifa: Ελευθερία ή Θάνατος (Eleftheria i thanatos - "Uhuru au mauti") |
|||||
| Wimbo wa taifa: Ύμνος εις την Ελευθερίαν - "Wimbo la Uhuru" | |||||
![]() |
|||||
| Mji mkuu | Athens |
||||
| Mji mkubwa nchini | Athens | ||||
| Lugha rasmi | Kigiriki | ||||
| Serikali | Jamhuri Karolos Papoulias Kostas Karamanlis |
||||
| Uhuru Ilitangazwa Ilitambuliwa |
25 Machi 1821 1829 |
||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
131,990 km² (ya 96) 0.8669 |
||||
| Idadi ya watu - 2005 kadirio - 2001 sensa - Msongamano wa watu |
11,244,118 (ya 74) 10,964,020 84/km² (ya 108) |
||||
| Ethnic groups ({{{Ethnic_groups_year}}}) | {{{Ethnic_groups}}} | ||||
| Fedha | Euro (€)2 (EUR) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
EET (UTC+2) EEST (UTC+3) |
||||
| Intaneti TLD | .gr 3 | ||||
| Kodi ya simu | +30 |
||||
| 1 Wananchi walikataza kurudi kwa ufalme tar. 8 Desemba 1974. 2 Prior to 2001: Greek Drachma. |
|||||
Ugiriki (pia: Uyunani; kigir.: Ελλάδα (elada) au Ελλάς (elas) ni nchi ya Ulaya Kusini-Mashariki katika kusini ya rasi ya Balkani. Imepakana na Bulgaria, Jamhuri ya Masedonia, Albania na Uturuki. Upande wa kusini-magharibi na kusini-mashariki kuna pwani ndefu na Bahari ya Mediteranea. Baharini kuna visiwa vingi sana mabavyo ni sehemu za Ugiriki.
Ugiriki ni nchi yenye historia ndefu na maarufu sana inaitwa "nchi mama ya Ulaya".
Lugha ya Kigiriki inaendelea kuandikwa kwa Alfabeti ya Kigiriki inaotumiwa tangu miaka 3000 lakini lugha yenyewe imebadilika. Wagiriki wa leo hawaelewi tena Kigiriki cha Kale moja kwa moja.
Ugiriki ni nchi mwanachama wa Umoja wa Ulaya tangu 1981.
| Makala hiyo kuhusu "Ugiriki" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Ugiriki kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |


