Poland
|
|||||
| Wito la taifa: hakuna | |||||
| Wimbo wa taifa: Kipoland: Mazurek Dąbrowskiego (Translation: "Dąbrowski's Mazurka") |
|||||
![]() |
|||||
| Mji mkuu | Warshawa |
||||
| Mji mkubwa nchini | Warshawa | ||||
| Lugha rasmi | Kipoland[1] | ||||
| Serikali | Jamhuri Bronisław Komorowski Donald Tusk |
||||
| Chanzo cha taifa Kupokea Ukristo[2] |
966 | ||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
312,685 km² (ya 68) 2.65% |
||||
| Idadi ya watu - 2006 kadirio - 2002 sensa - Msongamano wa watu |
38 635 144 (ya 31) 38,230,080 123.5/km² (ya 64) |
||||
| Fedha | Złoty (tamka: swoti) (PLN) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
CET (UTC+1) CEST (UTC+2) |
||||
| Intaneti TLD | .pl (pia .eu kama sehemu ya Umoja wa Ulaya) | ||||
| Kodi ya simu | +48 |
||||
| 1Kibelarusi, Kikashubi, Kijerumani and Kikraini zinatumiwa kieneo lakini si lugha rasmi za kitaifa. 2Kupokelewa kwa Ukristo na Poland hutazamiwa kama chanzo cha taifa la Poland. |
|||||
Poland (Kipoland: Polska) ni nchi ya Ulaya ya Kati. Imepakana na Ujerumani upande wa magharibi, Uceki na Slovakia kwa kusini, Ukraine na Belarus upande wa mashariki na Bahari ya Baltiki, Lituanya na Urusi (mkoa wa Kaliningrad Oblast) kwa kaskazini. Poland imekuwa nchi mwanachama wa Umoja wa Ulaya tangu Mei 2004.
Mto mkubwa wa Poland ni Vistula mwenye 1064 km kutoka chanzo hadi mdomo.
Yaliyomo |
Historia[hariri]
Jiografia[hariri]
Ardhi ya Poland ni tupu tu kufikia kiasi cha Bahari ya Baltiki katika upande wa kaskazini mwa Milima ya Carpathi kusini mwa nchi. Ndani ya eneo hilo lililotupu, ardhi inatofautiana kutoka mashariki na magharibi.
Pwani la Kipolish la Baltic ni murua zaidi lakini ina bandari asilia katika mkoa wa Gdańsk-Gdynia na Szczecin huko mashariki-magharibi ya mbali. Pwani hiyo ina upepo mzuri na maeneo kadhaa ya pwani za maziwa. Pwani za maziwa na fukwe za zamani ambazo zimekatwa kutoka baharini. Sehemu hizi pia huitwa kama rasi. Rasi ya Szczecin ipo kwenye upande wa mashariki mwa mpaka wa nchi ya Ujerumani. Rasi ya Vistula ipo kwenye upande wa mashariki mwa mpaka wa mji wa Kaliningrad, ambao ni mkoa wa Urusi. Mto mrefu zaidi nchini Poland ni "Vistula", unaangukia ndani ya Rasi ya Vistula na pia unaenda moja kwa moja hadi katika Bahari ya Baltic.
Kanda ya kaskazini-mashariki ni miti tu imejaa, inakosa watu wachache na rasilimali za kilimo na viwanda. Kanda ya kijiografia ina wilaya nne za vilima vya moraine na maziwa yaliyotengenezwa na moraine. Haya yalianzishwa baada ya Pleistocene Zama za Barafu. Ziwa Masurian ni miongoni mwa maziwa manne ya wilaya yaliyochukua eneo kubwa la kaskazini-mashariki mwa Poland.
Poland ina maziwa kibao. Kwa Ulaya, Finland peke yake ndiyo ina maziwa mengi. Maziwa makubwa ni "Śniardwy" na "Mamry". Kwa kuongeza katika wilaya ya ziwa katika kaskazini, kuna namba kubwa pia ya mlima maziwa katika milima Tatras.
Kusini mwa kanda ya kaskazini-mashariki mwa mikoa ya Silesia na Masovia, ambapo kuna alama za mto na mabonde ya zama za barafu. Mkoa wa Silesia una rasirimali nyingi na watu wengi. Kuna makaa ya mawe tele. Lower Silesia ina mgodi wa shaba mkubwa kabisa. Masovian Plain ipo kati ya Poland. Ipo katika mabonde ya mito mkubwa mitatu: Vistula, Bug na Narew.
Ukiendelea na safari kusini ni mlima ya kanda ya Kipolishi. Milima hiyo ni pamoja na Sudetes na Milima ya Carpathi. Sehemu ndefu ya Carpathia ni milima ya Tatra ambayo imekwenda hadi kusini mwa mpaka wa nchi ya Poland. Mlima mrefu zaidi nchini Poland, "Rysy" wenye 2,503 m (8,210 ft), upo Tatras.
Marejeo[hariri]
- ↑ Kibelarusi, Kikashubi, Kijerumani and Kikraini zinatumiwa kieneo lakini si lugha rasmi za kitaifa.
3^ Kupokelewa kwa Ukristo na Poland hutazamiwa kama chanzo cha taifa la Poland. - ↑ Kupokelewa kwa Ukristo na Poland hutazamiwa kama chanzo cha taifa la Poland.
Viungo vya nje[hariri]
Kurasa za taasisi za serikali[hariri]
- (Kipoland) (Kiingereza) Sejm - Sejm - lower chamber of the Parliament
- (Kipoland) (Kiingereza) Senat - Senate - upper chamber of the Parliament
- (Kipoland) (Kiingereza) Prezydent - President of the Republic of Poland
- (Kipoland) (Kiingereza) KPRM - Prime Minister's Office
- (Kipoland) (Kiingereza) Sąd Najwyższy - Supreme Court
- (Kipoland) (Kiingereza) (Kifaransa) Trybunał Konstytucyjny - Constitutional Tribunal
- (Kipoland) (Kiingereza) National Bank of Poland
- (Kipoland) (Kiingereza) The Poland.pl portal
- (Kipoland) (Kiingereza) Soko la Hisa la Warshawa
- (Kipoland) (Kiingereza) GUS - Central Statistical Office
- (Kipoland) (Kiingereza) Constitution of Poland
Utalii Poland[hariri]
- Polish Guide of the Ministry of Foreign Affairs (poland.gov.pl)
- Polish National Tourist Office (poland-tourism.pl, a part of pot.gov.pl)
Poland travel guide kutoka Wikisafiri- Parks in Poland National parks, wetlands, biosphere reserves and other protected areas
Kurasa mtandaoni juu ya Poland[hariri]
- Dobranoc - Free English to Polish Translation Services
- poland.gov.pl - the governmental page about Poland for international visitors
- Centreurope.org: Poland section
- World History Database Chronology of Poland
Habari za Poland kwa Kiingereza[hariri]
- Warsaw Voice, an English-language newspaper
- Warsaw Business Journal, an English-language newspaper
- PolBlog - Polish News Site
- - Google News listing stories about Poland
|
||||||||||||||
| Makala hii kuhusu maeneo ya Poland bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Poland kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
